By Esta Malibiche on july4 with No Comment
![]() |
| Waziei wa Ulinzi na Usala nchini,Mwigulu Lameck Nchemba akikagua mpahka wa Holili na Tarakea unaotenganisha Kenya na Tanzania |
Wazili wa Ulinzi na Usalama Mwigulu Nchemba ametembelea mpaka wa Holili na Tarakea uliopo kati ya nchi yetu na ya kenya kujionea njia za panya zinazotumiwa na wahamiaji haramu kuingia nchini
bila utaratibu rasmi uliowekwa na serikali.
'''''''Tumeanza kushirikisha serikali za mitaa,vijiji na wananchi waliopo mipakani kwa kutoa elimu ya Uraia,uzalendo na umuhimu wa kulinda mipaka yetu kuondokana na uhamiaji haramu.'''''alisema Mwigulu
Alisema,wizara inakwenda kuongeza nguvu kazi na vitendea kazi kudhibiti mipaka yetu inayotumiwa na wahamiaji hao kuingia nchini bila kibali maalum
.
'''''Natoa rai kwa wananchi wote hasa waliopo mipakani,tuna wajibu wa kulinda mipaka yetu na kutoa taarifa pindi kunapotokea watu/matukio yasiyoyakawaida katika mipaka yetu'''''''alisema Mwigulu
.
"Usalama wetu,jukumu letu sote











0 maoni:
Chapisha Maoni