Jumatatu, 4 Julai 2016

MAJALIWA AFUTURU KATIKA MSIKITI WA KHOJA SHIAITHNA-ASHERI -DAR ES SALAAM

min1Rais Mstaafu wa Awamu ya Pili, Ali Hassan Mwinyi  akisalimiana na viongozi wa Msikiti wa  Khoja Shia Ithna-Asheri wa jijini Dar es salaam wakati alipowasili msikitini hapo kushiriki katika fuatari ambayo mgeni Rasmi alikuwa Waziri mkuu, kassim Majaliwa Julai 3, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
min2Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa  akisalimiana na viongozi wa Msikiti wa  Khoja Shia Ithna-Asheri wa jijini Dar es salaam wakati alipowasili msikitini hapo kushiriki katika fuatari Julai 3, 2016.  Kushoto  ni Sheikh wa Mkoa wa Dar es salaam, Alhaji Mussa Salum na  kushoto kwa Waziri Mkuu  ni Mwenyekiti wa Khoja Shia Ithna-Asheri. (Picha na Ofisi  ya Waziri Mkuu)
min4 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa  akisalimiana na  Mufti Mkuu wa Tanzania, Abubakary Zubery bin Ally baada ya kuwasili kwenye msikiti wa Khoja Shia Ithna-Asheri jijini Dar es salaam kushiriki kwenye futari iliyoandaliwa msikitini hapo Julai 3, 2016. Katikati ni Mwenyekiti wa CCM wa mkoa wa Dar es salaam, Ramadhan Madabida. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
min5Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa  na Rais Mstaafu wa Awamu ya Pili, Ali Hassan Mwinyi wakishiriki  katika swala  kabla ya kufuturu kwenye Msikiti wa  Khona Shia Ithna-Asheri  wa jijini Dar es salaam  Julai 3, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
min6Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa  akimsikiliza Rais Mstaafu wa Awamu ya Pili, Ali Hassan Mwinyi alipozungumza katika futari iliyoandaliwa katika  Msikiti wa Khoja Shia Ithna-Asheri wa jijini Dar es salaam Julai 3, 2016. Wanne kushoto ni  ni Mufti Mkuu wa Tanzania, Abukakary Zubery bin Ally  na watano kushoto ni Mwenyekiti wa Khoja Shia Ithna-Asheri,  Azim Dewji. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
min8Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa  na Rais wa Awamu ya Pili Ali Hassan Mwinyi wakimsikiliza Mufti Mkuu wa Tanzania, Abubakary Zubery bin Ally wakati alipozungumza  katika futari iliyoandaliwa  katika Msikiti wa  Khoja Shia Ithna-Asheri wa jijini Dar es salaam Julai 3, 2016. Kushoto ni Sheikh  wa mkoa wa Dar es salaam,  Alhaji Mussa Salum. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
min9Mwenyekiti wa  Khoja Shia Ithna-Asheri,  Azim Dewji akizungumza katika futari iliyoandaliwa kwenye  Msikiti wa Khoja Shia Ithna-Asheri wa jijini Dar es salaam Julai 3, 2016. Mgeni rasmi alikuwa Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
min10Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimshukuru Mwenyekiti wa MOHAMMED ENTERPRISES   GROUP, Gulam Dewji ambaye alitoa mchango wa madawati 500 katika futari iliyoandaliwa kwenye  Msikiti wa  Khoja Shia Ithna-Asheri wa jijini Dar es salaam Julai 3, 2016.  (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
min12Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa wakizungumza katika futari iliyoandaliwa kwenye  Msikiti wa   Khoja Shia Ithna-Asheri wa jijini Dar es salaam Julai 3, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
min13Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa wakizungumza katika futari iliyoandaliwa kwenye  Msikiti wa   Khoja Shia Ithna-Asheri wa jijini Dar es salaam Julai 3, 2016. Kushoto ni Mufti Mkuu wa Tanzania, Abubakary Zubery bin Ally na wapili kushoto ni Mwenyekiti wa  Khoja Shia Ithna-Asheri,  Azim Dewji(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
min15Baadhi ya washiriki wa futari iliyoandaliwa kwenye  Msikiti wa  Khoja Shia Ithna-Asheri  jijini Dar es salaam wakimsikiliza mgeni rasmi Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa  wakati alipozungumza Julai 3, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

0 maoni:

Chapisha Maoni