Bwana Harusi, Richard Jeremiah
Gwapulukwa (kushoto) wa Kasamwa mkoani Geita, amefunga ndoa na Happness
Daniel Kulola (kulia) ambae ni binti wa Mchungaji Dkt.Daniel Moses
Kulola wa Kanisa la EAGT Lumala Mpya lililopo Sabasaba Ilemela Jijini
Mwanza.
Maharusi wakiingia Kanisani kwa ajili ya Kufunga ndoa leo mchana
Maharusi wakiingia Kanisani kwa ajili ya Kufunga ndoa leo mchana
Maharusi wakisalimia. Pembeni ni wasimamizi/wapambe wao
Mchungaji Paul Thomas Bagaka ambae pia
ni msajili wa ndoa Manispaa ya Ilemela, akitoa somo la ndoa kabla ya
kuwafungisha maharusi ndoa
Mchungaji Paul Thomas Bagaka ambae pia ni msajili wa ndoa Manispaa ya Ilemela, wakiwafungisha maharusi ndoa
Bwana harusi akimvalisha bibi harusi pete ya ndoa
Bibi harusi akimvalisha bwana harusi pete ya ndoa
Maharusi wakiombewa na viongozi wa dini pamoja na wazazi
Maharusi pamoja na wasimamizi/wapambe wao
Kutoka kulia ni
Mchungaji wa Kanisa la EAGT Lumala Mpya, Dkt.Daniel Moses Kulola, Mama
Mchungaji, Mercy Daniel Kulola, Mama mzazi na mchungaji na viongozi wa
kanisa.
Brighters wakiingia ukumbini
Ndoa ilishuhudiwa na ndugu, jamaa na marafiki wakiwemo waumini wa Kanisa la EAGT Lumala Mpya.
Ndoa imefungwa katika Kanisa hilo hii leo na Mchungaji Paul Thomas Bagaka ambae pia ni msajili wa ndoa Manispaa ya Ilemela. Hafla ya ndoa hiyo inafanyika katika Ukumbi wa New Sun City Hotel Jijini Mwanza.
Na BMG
0 maoni:
Chapisha Maoni