Jumapili, 15 Mei 2016

SAFARI YA MWISHO YA MTOTO WA ISSA MICHUZI MAGGID MUHIDINI MICHUZI

Baba wa marehemu (mwenye kofia), Issa Michuzi akipewa pole na baadhi waombolezaji mara baada ya maziko ya mtoto wake
Maggid Muhidin Michuzi (18)yaliyofanyika katika makaburi ya Kisutu jijini Dar es Salaam leo.
Waziri Mkuu mstaafu, Joseph Sinde Warioba akimpa pole Issa Michuzi.
Rais Mstaa mstaafu wa awamu ya nne, Jakaya Kikwete akiagana na Issa Michuzi.
Issa Michuzi (mwenye kofia) akifuatiwa na Rais mstaafu Jakaya Kikwete (kulia kwake) na viongozi wengine wa serikali wakati maziko.
Baadhi ya waumini wakiomba dua.
Baba wa marehemu Issa Michuzi (katikati) akiwa na huzuni.
Baba mkubwa wa marehemu, Ismail Michuzi akitoa shukrani kwa walioshiriki mazishi ya mtoto wao.
Mroki Mroki ambaye alikuwa MC akitoa ya muongozo wakati wa mazishi.
Waombolezaji wakiweka udongo kwenye kaburi la marehemu.
Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Mhandisi John Kijazi akiweka udongo.
Waziri Mkuu mstaafu Joseph Warioba akiweka udongo.
Rais mstaafu Jakaya Kikwete akiweka udongo.

0 maoni:

Chapisha Maoni