Hapa
akielekea kuweka kigogo kwenye ndege ushauri wetu matukiodaimaBlog
kwanza kwa kamati ya ulinzi na usalama mkoa wa Singida kulitazama
suala hili la kiusalama kwa jicho la tatu kwani hatuombi jambo basi
kutokea ila ni vema kinga kuliko tiba ,pili uongozi wa kiwanja
hicho cha ndege kuongeza wafanyakazi na hata kuomba gari la kisasa
katika uwanja huo , tatu wizara husika kulitazama hili na mwisho
uongozi wa viwanja vya ndege nchini kutoka ofisini na kuzungukia
viwanja vyote kikiwemo hiki cha Singida kuangalia changamoto zake
vinginevyo hili ni jipu sasa ni nani wa kujitolea kulitumbua ? |
0 maoni:
Chapisha Maoni