Waziri wa Viwanda,Biashara na Uwekezaji Charles
John Mwijage akisaini kitabu cha wageni mara baada ya kutembelea banda
la Mfuko wa Pensheni wa PFF mara baada ya kufungua maonyesho ya biashara ya kimataifa ya Tanga yanayofanyika kwenye viwanja vya Mwakidila jijini
Afisa wa Mfuko wa Pensheni wa PPF Mkoa wa Tanga, Jabir Bundile akiwa kwenye banda lao lililopo kwenye maonyesho
hayo
hayo
Afisa wa Mfuko wa Pensheni wa PPF Mkoa wa Tanga, Jabir Bundile wa pili kulia akitoa elimu kwa mkazi wa Tanga
namyanatolewa na mfuko huo. na ya mafao WAKAZI wa Mkoa wa Tanga wametakiwa kutumia fursa ya kujiunga na Mfumo
wa wote scheme unaotolewa na Mfuko wa Pensheni PPF ili kuwawezesha kukithi mahitaji kwa sababu unalengo kuu la kutambua mchango wa ushiriki kwenye sekta isiyo rasmi katika kuinua uchumi.
namyanatolewa na mfuko huo. na ya mafao WAKAZI wa Mkoa wa Tanga wametakiwa kutumia fursa ya kujiunga na Mfumo
wa wote scheme unaotolewa na Mfuko wa Pensheni PPF ili kuwawezesha kukithi mahitaji kwa sababu unalengo kuu la kutambua mchango wa ushiriki kwenye sekta isiyo rasmi katika kuinua uchumi.
Hayo
yalisemwa jana na Afisa wa Mfuko wa Pensheni wa PPF Mkoa wa Tanga,
Jabir Bundile wakati alipozungumza na gazeti hili katika maonyesho ya
nne ya biashara ya kimataifa ya Tanga yanayofanyika kwenye viwanja vya
Mwakidila jijini hapa ambapo alisema mfumo huo utasaidia kufikia
wananchi wengi.
Alisema
kuwa fao hilo likuwa likitoa fursa mbalimbali kwa wafanyakazi waliopo
kwenye sekta iliyo rasmi na isiyorasmi ili kuwawezesha kunufaika na
mfumo huo kwa ajili ya kukuza shughuli mbalimbali za kiuchumi na kijamii
kwa mustakabali wa maendeleo yao.
“Niwaambieni
kila mtu au kikundi chenye mlengo wa kiuchumi kilichopo kwenye sekta
isiyorasmi kama vile wakulima, wafugaji, wavuvi, mama lishe, waendesha
pikipiki, wajasiriamali wadogo wadogo kwa lengo la kuhakikisha
wananufaika kupitia mfumo huo “Alisema.
Aliongeza
kuwa pia mfumo huo unawagusa wasanii, wana michezo, wachimbaji madini
wadogo wadogo wanaweza kujiunga na mfumo huo kwa lengo la kupata manufaa
yanayotokana na mfuko huo.
Sambamba
na hilo pia alisisitiza uwepo wa mafao yanayotolewa na mfuko huo kuwa
ni ule wa Afya, Fao la Uzeeni, Mkopo wa elimu ambao unalengo la
wanachama kukopa na kujiendeleza kielimu na PPF na mkopo ambao
unakuwezesha kutimiza ndoto yako.
Habari kwa hisani ya Blog ya Kijamii ya Tanga Raha
0 maoni:
Chapisha Maoni