Jumatano, 25 Mei 2016

WASIFU WA TIMU ZA MEXCO, ARGENTINA NA CHILE KABLA YA KOMBE LA COPA AMERICA

CHI1Timu ya taifa ya Chile ni maarufu kama “La Roja”. Timu hii ilitengeneza historia kwa mara ya kwanza mwaka jana ilipoifunga Argentina magoli 4-1 katika fainali ya Copa America na kuchukua ubingwa wa ligi hiyo tangu kuanziashwa kwa Ligi hii.
Timu ya taifa ya Chile “La Roja” yenyewe iko kwenye kundi D ikijumuishwa na timu za taifa za Panama, Bolivia na Argentina, bado hili ni moja kati ya kundi gumu kwenye michuano ya mwaka huu. Je itafanikiwa kuingia fainali mwaka huu na hata kuchukua ubwingwa tena katika kombe hili? Majibu yote tutayapata katika Copa America 2016 StarTimes pekee
‪#‎CopaAmericaOnStarTimes ‪#‎Exclusive 
Download APP ya StarTimes sasa na uweze kujishindia zawadi kem kem www.startimes.com
CHI2
Timu ya taifa ya Mexico ni maarufu kama “El Tri”, ni timu yenye historia ya kipekee kwenye fainali za kombe la dunia. Imeshiriki mara 14, haijawahi kushinda taji hili, iko katika nafasi ya 19 kwenye viwango vya FIFA
Katika copa America iko kundi C ambalo ni kundi gumu haswa! Ikiwemo Uruguay, Jamaica na Venezuela. Mwaka 1991 ilifanikiwa kuingia fainali na kucheza na Argentina lakini wakagonga mwamba na kupigwa bao 2-1. Hivyo hivyo kwa mwaka 1999 ilipocheza na Colombia katika fainali na kupigwa 1-0.
Je mwaka huu watajitahidi kuchukua ubingwa? Yote utayapata StarTimes
‪#‎CopaAmericaOnStarTimes ‪#‎Exclusive 
Download APP ya StarTimes sasa na uweze kujishindia zawadi kem kemwww.startimes.com
CHI3Argentina ni nchi inayopatikana barani America ya kusini. Mwaka jana timu hii ilifanikiwa kuingia katika fainali na kutolewa na mabingwa Chile waliochukua ushindi wa bao 4-1 katika kombe la COPA America na kuifanya chile iibuke kidedea katika fainali hiyo. Mwaka huu Argentina itashiriki katika mashindano ya Copa America, bila kumsahau kiungo mchezaji Messi ndani, je watafanikiwa kuingia katika fainali au hata kuchukua Ubingwa? StarTimes tutarusha mechi zote LIVE ndani ya channel za michezo 
‪#‎CopaAmericaOnStarTimes ‪#‎Exclusive
Download app ya StarTimes kujishindia zawadi www.startimes.com

0 maoni:

Chapisha Maoni