Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Balozi wa Tanzania nchini
Uingereza, Dkt. Asha – Rose Migiro kabla ya mazungumzo yao Ofisini
kwake jijini Dar es salaam Mei 17, 2016.
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Balozi wa Tanzania nchini
Uingereza, Dkt. Asha – Rose Migiro ofisini kwake jijini Dar es salaam
Mei 17, 2016.
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
0 maoni:
Chapisha Maoni