Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akipokea Vitambu kutoka Rais wa Bermuda
Emmissions Control Limited, Bw. Donal Smith katika mkutano wa ‘Africa
World Heritage’ aliounfungua kwenye Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha
Arusha (AICC) Mei 31, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Rais wa Bermuda Emmissions Control
Limited, Bw. Donal Smith baada ya kufungua mkutano wa ‘Africa World
Heritage’ kwenye Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Arusha (AICC), Mei
31, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akiwapungia wasanii waliojitokeza kumlaki wakati
alipowasili kwenye Kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha Arusha (AICC)
kufungua mkutano wa ‘Africa World Heritage’ mjini Arusha Mei 31, 2016.
Kulia ni Waziri wa Maliasili na Utalii, Profesa Jumanne Maghembe. (Picha
na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akimsikiliza Waziri wa Maliasili na Utalii,
Profesa Jumanne Maghembe wakati alipomkaribisha kufungua Mkutano wa
“Afrca World Heritage’ kwenye Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha
Arusha (AICC) Mei 31, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akifungua mkutano wa ‘Africa World Heritage’
kwenye Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Arusha (AICC) Mei 31, 2016.
Kulia ni Waziri wa Maliasili na Utalii, Profesa Jumaane Maghembe. (Picha
na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Baadhi ya Washiriki wa Mkutano wa wa’ Africa World Heritage ‘
wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa wakati alipofungua mkutano
wao kwenye kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Arusha (AICC) Mei 31,
2016.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya
washiriki wa Mkutano wa ‘Africa World Heritage’ baada ya kuufungua
kwenye kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Arusha (AICC) Mei 31, 2016.
Kulia kwake ni Waziri wa Maliasili na Utalii, Profesa Jumanne Maghembe
na kushoto ni Mkuu wa Arusha, Felix Tibenda. (Picha na Ofisi ya Waziri
Mkuu)

0 maoni:
Chapisha Maoni