Jumapili, 15 Mei 2016

NAIBU KATIBU MKUU WA CCM-BARA RAJAB LUHAVI AZUNGUMZA NA MAKATIBU WA CCM WA KATA NA MATAWI NA KAMATI YA SIASA YA WILAYA YA TANGA


 Naibu Katibu Mkuu wa CCM-Bara, Rajabu Luhwavi akizungumza na  Makatibu wa CCM wa Kata, Matawi na Kamati ya Siasa ya Wilaya ya Tanga leo jioni katika ukumbi wa Ofisi ya CCM mkoa wa Tanga. Kushoto ni Mkuu wa Kitengo cha Mafunzo katika Idara ya Itikadi na Unezi,  Frank Uhahula na Katibu wa CCM mkoa wa Tanga, Shija Othman na kulia ni Katibu wa CCM wilaya ya Tanga Mjini Lucia Mwiru
 Baadhi ya wajumbe wakimsikiliza Naibu Katibu Mkuu wa CCM-Bara, Rajab Luhwavi alipozungumza na Makatibu wa CCM wa Kata, Matawi na Kamati ya Siasa ya Wilaya ya Tanga katika ukumbi wa Ofisi ya CCM mkoa wa tanga leo jioni 
  Baadhi ya wajumbe wakimsikiliza Naibu Katibu Mkuu wa CCM-Bara, Rajab Luhwavi alipozungumza na Makatibu wa CCM wa Kata, Matawi na Kamati ya Siasa ya Wilaya ya Tanga katika ukumbi wa Ofisi ya CCM mkoa wa tanga leo jioni 
 Mmoja wa wajumbe ambaye ni muumini wa Dini ya Kikristu, akifanya maombi utulivu uwepo na kuendelea ndani ya CCM baada ya Naibu Katibu Mkuu wa CCM-Bara, Rajabu Luhwavi kuzungumza na Makatibu wa CCM wa Kata, Matawi na Kamati ya Siasa ya Wilaya ya Tanga katika ukumbi wa Ofisi ya CCM mkoa wa tanga leo jioni 
 Mmoja wa wajumbe ambaye ni muumini wa Dini ya Kiislam, akifanya maombi utulivu uwepo na kuendelea ndani ya CCM baada ya Naibu Katibu Mkuu wa CCM-Bara, Rajabu Luhwavi kuzungumza na Makatibu wa CCM wa Kata, Matawi na Kamati ya Siasa ya Wilaya ya Tanga katika ukumbi wa Ofisi ya CCM mkoa wa tanga leo jioni .
Continue reading →

0 maoni:

Chapisha Maoni