Mkurugenzi
wa taasisi ya Basilla Mwanukuzi foundation na Miss Tanzania 1998
akipokea mwenge wakati wilaya ya Kinondoni ilipopokea mbio za mwenge wa
uhuru pamoja na viongozi wa vyama na serikali na wananchi wa
kinondoni kwenye uwanja wa shule Bunju jijini Dar es salaam.
0 maoni:
Chapisha Maoni