Alhamisi, 26 Mei 2016

YANGA MABINGWA WAPYA KOMBE LA SHIRIKISHO 2016/17, YAILAZA AZAM FC BAO 3-1 UWANJA WA TAIFA JIJINI DAR




 Rais wa Shirikisho la soka nchini, Jamal Malinzi akimkabidhi Kombe la Ubingwa wa Shirikisho (ASFC), Nahodha wa Timu ya Yanga, Nadir Haroub, mara baada ya kutwaa ubingwa huo kwa kuichapa Timu ya Azam FC, Bao 3-1, katika mchezo uliomalizika jioni ya jana kwenye Uwanja wa Taifa jijini, Dar es salaam. Picha na Othman Michuzi.


 Wachezaji wa Timu ya Yanga pamoja na viongozi wao wakishangilia baada ya kutwaa Kombe la Shirikisho, kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam jana.

0 maoni:

Chapisha Maoni