Naibu
Waziri, Ofisi ya Makamu wa Rais, Muungano na Mazingira ambaye pia ni
Mbunge Jimbo la Kisesa, Mhe. Luhaga Joelson Mpina (kushoto) akiwa
ameongozana na Mbunge wa CHADEMA Jimbo la Iringa Mjini, Mhe. Mchungaji
Peter Simon Msigwa wakielekea Bungeni kwa ajili ya vikao vya asubuhi
ndani ya bunge hilo leo 24 Mei, 2016.
Waziri
wa Nishati na Madini, Mhe. Sospeter Mwijarubi Muhongo akiwasili Bungeni
kwa jili ya kuhudhuria vikao vya bunge hilo leo 24 Mei, 2016 mjini
Dodoma.
Mbunge
wa CHADEMA Jimbo la Mikumi, Mhe. Joseph Leonard Haule akiwasili Bungeni
kwa jili ya kuhudhuria vikao vya bunge hilo leo 24 Mei, 2016 mjini
Dodoma.
Naibu
Waziri, Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano (Mb), Mhe. Eng. Edwin
Amandus Ngonyani (kushoto) akiwa ameongozana na Naibu Waziri, Wizara ya
Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhe. Eng. Hamad Yusuf Masauni wakielekea ndani
ya Bunge kwa ajili ya vikao vya asubuhi vya bunge hilo leo 24 Mei, 2016.
Mwenyekiti
wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambaye pia ni Mbunge wa
Bariadi, Mhe. Andrew John Chenge (kulia) akiwa ameongozana na Mbunge
mwenzie wakielkea ndani ya Bunge kwa ajili ya vikao vya asubuhi ndani ya
bunge hilo leo 24 Mei, 2016 mjini Dodoma.
Naibu
Waziri, Wizara ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi ambaye pia ni Mbunge Jimbo la
Ngorngoro, Mhe. William Tate Ole-Nasha akiwasili Bungeni kwa jili ya
kuhudhuria vikao vya bunge hilo leo 24 Mei, 2016 mjini Dodoma.
Mbunge
wa Viti Maalum CCM, Mhe. Mary Machuche Mwanjelwa akiwasili Bungeni kwa
jili ya kuhudhuria vikao vya bunge hilo leo 24 Mei, 2016 mjini Dodoma.
Waziri
wa Elimu, Sayansi, Teknolojia na Ufundi, Mhe. Prof. Joyce Lazaro
Ndalichako akiwasili Bungeni kwa jili ya kuhudhuria vikao vya bunge hilo
leo 24 Mei, 2016 mjini Dodoma.
Waziri
wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji ambaye pia ni Mbunge wa CCM Muleba
Kaskazini, Mhe. Charles John Mwijage akiwasili Bungeni kwa jili ya
kuhudhuria vikao vya bunge hilo leo 24 Mei, 2016 mjini Dodoma.
PICHA ZOTE NA BENEDICT LIWENGA, MAELEZO, DODOMA.
0 maoni:
Chapisha Maoni