Katibu
Mtendaji wa Baraza la Taifa la Uwezeshaji (NEEC)Bi Beng’i Issa
akigungua mafunzo ya washiriki wa shindano la andiko la Biashara la
ajira yangu Ajira Yangu Business Plan Competition yaliyoanza jana kwenye
ukumbi wa Makumbusho ya Taifa jijini Dar es salaam ambapo vijana 50
wamefanikiwa kuendelea na shindano hilo baada ya mchujo kufanyika na
kuwapata hao 50, Mchujo huo utaendelea ili kupata maadiko mengine bora
ya kibishara bora 20 na kisha baadaye kupata maandiko bora 10 ambapo
washindi hao 10 watapatiwa mitaji kwa ajili ya kundeleza bishara zao na
kuanzisha biashara pia.
Katika picha kutoka kulia ni
Mwezeshaji Mkuu wa Mafunzo Dkt. ThobiasSwai, Mwakilishi wa ILO Anna
Marie Kiaga na kushoto ni mwakilishi kutoka ILO, Bw. Geras Shirove
Mwakilishi
kutoka ILO, Geras Shirove akizungumza katika wa ufunguzi wa mafunzo
hayo kulia ni Katibu Mtendaji wa Baraza la Taifa la Uwezeshaji (NEEC)Bi
Beng’i Issa na kushoto ni Mkurugenzi wa Uwezeshaji Bi Anna Lyimo.
Baadhi ya washiriki wa mafunzo
hayo wakiwa kwenye ufunguzi rasmi wa mafunzo yanayofanyika kwenye ukumbi
wa Makumbusho ya taifa jijini Dar es salaam.
0 maoni:
Chapisha Maoni