Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt.Ali Mohamed Shein
akisalimiana na Gavana wa Comoro Bw.Hassan Hamadi wakati alipowasili
katika uwanja wa Ndege wa Comoro jana akimuwakilisha Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Dkt.John Pombe Magufuli,katika sherehe za kuapishwa
Rais mteule wa Muungano wa Comoro Kanali Azali Assoumani,akiwa na
ujumbe aliofuatana nao akiwemo Mama Mwanamwema Shein,[Picha na
Ikulu].25/05/2016.]
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt.Ali Mohamed Shein
akisalimiana na Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Comoro
Mhe,Chabaka Chilumanga Fereji wakati alipowasili katika uwanja wa Ndege
wa Comoro jana akimuwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Dkt.John Pombe Magufuli,katika sherehe za kuapishwa Rais mteule wa
Muungano wa Comoro Kanali Azali Assoumani, akiwa na ujumbe aliofuatana
nao akiwemo Mama Mwanamwema Shein,[Picha na Ikulu].25/05/2016.]
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt.Ali Mohamed Shein
(katikatki) akifuatana na Gavana wa Comoro Bw.Hassan Hamadi (kulia)
wakati alipowasili katika uwanja wa Ndege wa Comoro jana akimuwakilisha
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.John Pombe Magufuli,katika
sherehe za kuapishwa Rais mteule wa Muungano wa Comoro Kanali Azali
Assoumani, akiwa na ujumbe aliofuatana nao akiwemo Mama Mwanamwema
Shein,(kushoto) Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Visiwa vya Comoro
Dr.Ahamada El Badaoui Mohamed [Picha na Ikulu].25/05/2016.]
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt.Ali Mohamed Shein
akisalimiana na Viongozi mbali mbali wa Muungano wa Comoro wakati
alipowasili katika uwanja wa Ndege wa Comoro jana akimuwakilisha Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.John Pombe Magufuli,katika sherehe
za kuapishwa Rais mteule wa Muungano wa Comoro Kanali Azali Assoumani,
akiwa na ujumbe aliofuatana nao akiwemo Mama Mwanamwema Shein,[Picha na
Ikulu].25/05/2016.]
0 maoni:
Chapisha Maoni