Wananchi
na Wakazi wa Kata ya Kisesa, Wilaya ya Magu Mkoani Mwanza, mapema leo
wamefunga barabara ya Mwanza-Musoma katika eneo la Kisesa na hivyo
kusababisha abiria wanaoingia Jijini Mwanza kutoka Mikoani kukwama
barabarani kwa zaidi ya saa moja.
Bonyeza HAPA Kusoma Zaidi
0 maoni:
Chapisha Maoni