Jumatatu, 16 Mei 2016

UKARABATI WA KIVUKO CHA MVI MAGOGONI UNAENDELEA

MAG1Mafundi wa Kampuni ya Songoro Marine Boat yard Ltd wakiendelea na kazi ya ukarabati  wa kivuko cha Mv Magogoni kilichosimamisha huduma zake kwa ajili ya ukarabati mkubwa.(Picha na Theresia Mwami – TEMESA
MAG2

0 maoni:

Chapisha Maoni