Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan,
akihutubia kwenye uzinduzi wa kampeni ya LONGA NASI inayomaanisha Sema
au ongea na TAKUKURU kwa kutoa Taarifa za vitendo vya Rushwa au maoni ya
kuboresha mapambano dhidi ya Rushwa ambapo uzinduzi huo umeambatana
pamoja na uzinduzi wa matumizi mapya ya simu ya Dharura ya 113. Uzinduzi
huo umefanyika leo Mei 24,2016 katika viwanja vya Mwembe Yanga Temeke
jijini Dar es salaam.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan,
akizungumza jambo na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Menejimenti ya
Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe. Angela Kairuki kabla ya kuzindua
mpango wa kampeni ya LONGA NASI inayomaanisha Sema au ongea na TAKUKURU
kwa kutoa Taarifa za vitendo vya Rushwa au maoni ya kuboresha mapambano
dhidi ya Rushwa ambapo uzinduzi huo umeambatana pamoja na uzinduzi wa
matumizi mapya ya simu ya Dharura ya 113. Uzinduzi huo umefanyika leo
Mei 24,2016 katika viwanja vya Mwembe Yanga Temeke jijini Dar es salaam.

akivuta kamba kuondoa kitambaa kuzindua mpango wa kampeni ya LONGA NASI
inayomaanisha Sema au ongea na TAKUKURU kwa kutoa Taarifa za vitendo vya
Rushwa au maoni ya kuboresha mapambano dhidi ya Rushwa ambapo uzinduzi
huo umeambatana pamoja na uzinduzi wa matumizi mapya ya simu ya Dharura
ya 113. Uzinduzi huo umefanyika leo Mei 24,2016 katika viwanja vya
Mwembe Yanga Temeke jijini Dar es salaam. Kushoto Waziri wa Nchi Ofisi
ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe. Angela
Kairuki, kushoto Mkurugenzi Mkuu wa TAKUKURU Valentino Mlowola.
Makamu
wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiagana na Mkurugenzi Mkuu wa
Taasisi ya Kuzuwia na kupambana na Rushwa Nchini TAKUKURU Valentino
Mlowola baada ya kuzindua mpango wa kampeni ya LONGA NASI inayomaanisha
Sema au ongea na TAKUKURU kwa kutoa Taarifa za vitendo vya Rushwa au
maoni ya kuboresha mapambano dhidi ya Rushwa ambapo uzinduzi huo
umeambatana pamoja na uzinduzi wa matumizi mapya ya simu ya Dharura ya
113. Uzinduzi huo umefanyika leo Mei 24,2016 katika viwanja vya Mwembe
Yanga Temeke jijini Dar es salaam. (Picha na OMR)
0 maoni:
Chapisha Maoni