Jumamosi, 16 Julai 2016

Nchi ya Uturuki chini ya madaraka ya Jeshi..



Postedy by Esta Malibiche By on World News
 turkey

Tayari hali ya taharuki imetanda katika Nchi ya Uturuki  baada ya kuelezwa kuwa Jeshi la Nchi hiyo imechukua nchi kutoka mikononi mwa Serikali.
Taarifa zinaeleza kuwa majeshi ya Kituruki yanajaribu mapigano ambayo hayajapewa baraka na Uongozi wa Nchi hiyo. Kilieleza chanzo cha habari.
Kwa mujibu wa Waziri Mkuu w Uturuki, Binali Yaldirim amebainisha kuwa,  “Jaribio dhidi ya demokrasia na matakwa ya watu, Ni jambo baya zaidi na hatupo tayari  kwani jambo hili  wanaathirika Zaidi Taifa na Nchi ” alieleza Waziri huyo wa Uturuki.
Aidha, kuna ndege hizo za kivita baadhi ya wananchi wameziona zikiruka angani huku  moja ya ‘tweet’ kwenye mitandao ya kijamii ikionyesha ndege hizo za kivita katika Taifa hilo.

0 maoni:

Chapisha Maoni