Mkuu
wa mkoa wa Arusha akiwa katika sherehe za mei day kabla ya kuwahutubia
wafanyakazi Leo jijini Arusha katika uwanja wa sheikh Amri Abeid .
Mkuu
wa mkoa wa Arusha Daud Ntibenda akihutubia wakazi na wafanyakazi wa
mkoa wa Arusha wakati wa kilele cha maadhimisho ya Siku ya wafanyakazi
duniani Leo kwenye uwanja wa sheikh amri abeid jijini Arusha.
Wafanyakazi
wa kampuni na mashirika mbalimbali mkoani Arusha wakifuatilia hotuba ya
Mkuu wa mkoa wa Arusha daud ntibenda hayupo picha kwenye kilele cha
sherehe za wafanyakazi Leo jijini Arusha
Zawadi za washindi wa maonyesho ya mei mosi kama zinavyoonekana pichani picha na Mahmoud Ahmad arusha
0 maoni:
Chapisha Maoni