Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na wafanyakazi wa Ubalozi wa
Tanzania nchini Uingereza uliopo London wakati alipowasili ubalozini
hapo kuzungumza na watanzania waishio nchini humo Mei 14, 2016..
Kushoto ni Kaimu Balozi wa Tanzania nchini Uingereza, Msafiri Marwa.
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akitia saini kitabu cha wageni wakati
alipowasili kwenye ubalozi wa Tanzania nchini Uingereza uliopo London
kuzungumza na Watanzania Mei 14, 2016. Kulia ni Waziri wa Mambo ya Nje,
Ushirikiano wa Afrika ya Mashariki , kikanda na Kimataifa, Augustine
Mahiga na kushoto ni Jaji Mkuu wa Tamzania, Mohamed Othman.
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Watanzania Waishio nchini
Uingereza kwenye ubalozi wa Tanzania uliopo London Mei 14, 2014.
Kulia ni Waziri wa Mambo ya Nje, Ushirikiano wa Afrika ya Mashariki
Kikanda na Kimataifa, Augustine Mahiga. Kushoto ni KaimuBalozi wa
Tanzania nchini Uingereza, Msafiri Marwa .
Baadhi
ya Watanzania waishio nchini Uingereza wakimsikiliza Waziri Mkuu,
Kassim Majaliwa wakati alipozungumza nao kwenye ubalozi wa Tanzania
uliopo London Mei 14,2016,
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na wafanyakazi wa Ubalozi wa
Tanzania nchini Uingereza uliopo London wakati alipowasili ubalozini
hapo kuzungumza na watanzania waishio nchini humo Mei 14, 2016..
Kushoto ni Kaimu Balozi wa Tanzania nchini Uingereza, Msafiri Marwa. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
0 maoni:
Chapisha Maoni