Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan,
akizungumza na Mchezaji wa Mpira wa kulipwa wa Kikapu NBA Marekani
Hashim Thabit, wakati alipofika Ofisini kwa Makamu wa Rais Ikulu Dar es
salaam leo Juni 09, 2016 kwa ajili ya kumuelezea kuhusu lengo na mpango
wake wa kuanzisha na kukuza vituo vya Michezo hapa Nchini. |
0 maoni:
Chapisha Maoni