Taarifa
kutoka Mkoani Arusha zinaeleza kuwa, Korti Kuu ya Mahakama ya Arusha
imemvua Ubunge aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Longido,Mh. Onesmo Ole
Nangole kupitia tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA).
Taarifa Zaidi zitawajia juu ya tukio hilo.
Awali Mh. Onesmo Ole Nangole alikuwa na kesi hiyo ya uchahuzi iliyokuwa ikiendelea katika Mahakama ya Arusha.
Mh. Onesmo Ole Nangole pichani (Kulia)
0 maoni:
Chapisha Maoni