Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha
Dkt. Binilith Satano Mahenge kuwa mkuu wa mkoa wa Ruvuma Ikulu jijini
Dar es Salaam.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha
Dkt. Charles Mlingwa kuwa mkuu wa mkoa wa Mara Ikulu jijini Dar es
Salaam.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha
Zainab Telack kuwa mkuu wa mkoa wa Shinyanga Ikulu jijini Dar es
Salaam.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa
katika picha ya pamoja na baadhi ya Wakuu wapya wa Wilaya mara baada ya
kuwaapisha wakuu wapya watatu wa Mkoa Ikulu jijini Dar es Salaam.
Wengine katika picha ni Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan watatu kutoka
kushoto, Waziri Mkuu Kassim Majaliwa watatu kutoka kulia na Katibu Mkuu
Kiongozi Balozi John Kijazi wakwanza kushoto.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza
na Wakuu wa mikoa pamoja na Wakuu wa Wilaya wateule mara baada ya
kumaliza kuwaapisha wakuu wa mikoa ya Shinyanga, Mara na Ruvuma Ikulu
jijini Dar es Salaam.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimkaribisha Mwenyekiti wa Gates Foundation Bi. Melinda Gates Ikulu jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kufanya mazungumzo.
0 maoni:
Chapisha Maoni