Jumatano, 29 Juni 2016

Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam YASHIRIKI MAONESHO YA SABASABA

1Mtendaji Mkuu wa Mahakama  Tanzania Bw. Hussein Kattanga akisikiliza maelezo kutoka kwa Mtendaji Mkuu Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam Bi. Mary Shirima wakati wa maonyesho ya kimataifa ya Biashara yanayoendelea jijin Dar es Salaam
3Wanausalama wakiimarisha ulinzi katika viwanja vya sabasaba ili wafanyabiashara na wananchi waweze kufanya shughuli zao kwa amani.
4Mwanafunzi kutoka chuo cha VETA wa pili kutoka kulia akiwaelekeza baadhi ya wananchi ubunifu wa kutengeneza boti itakayokuwa inatembea barabarani kwa kuendeshwa na dereva mpaka baharini
Picha na Benjamin Sawe

0 maoni:

Chapisha Maoni