Mkuu
wa Wilaya ya Ubungo Mhe. Humprey Polepole akizungumza wakati wa ibada
maalum ya kumuombea Marehemu Hezron Polepole Kinyangidzi katika kanisa
la KKKT Ushirika wa Segerea.
Picha ya Marehemu Hezron Polepole Kinyangidzi
Waziri
Mkuu Mstaafu na aliyekuwa Mwenyekiti wa iliyokuwa Tume ya Mabadiliko ya
Katiba, Mzee Joseph Sinde Warioba na Mkewe, Katibu Mkuu Wizara ya
Ujenzi, Mawasiliano na Uchukuzi Engineer Nyamuhanga, Katibu wa CCM Ilala
pamoja na Mkuu wa Wilaya ya Tarime Ndugu Glorious Luoga wakati ya Ibada
ya kumuombea marehemu Baba mzazi wa Humphrey Polepole katika kanisa la
KKKT usharika wa Segerea.
Waziri Mkuu Mstaafu na aliyekuwa Mwenyekiti wa iliyokuwa Tume ya
Mabadiliko ya Katiba, Mzee Joseph Sinde Warioba akizungumza na Mkuu wa
Wilaya ya Ubungo Mhe. Humphrey Polepole kwenye msiba wa Mzee
Jaji Warioba na Mkwewe wakitoa heshima ya mwisho
Waziri Mkuu Mstaafu Dkt. Salim Ahmed Salim akiweka udongo kaburi
Mkuu wa wilaya ya Ubungo Mhe. Humphrey Polepole akiweka udongo kwenye kaburi la Baba yake Mzee hezron Polepole.
Waziri Mkuu Mstaafu na aliyekuwa Mwenyekiti wa iliyokuwa Tume ya
Mabadiliko ya Katiba, Mzee Joseph Sinde Wariobaakiweka udongo kwenye
kaburi la Baba yake Humphrey Polepole.
Humphrey
Polepole akiweka shada la maua kwenye kaburi la Baba yake mzazi
aliyezikwa tarehe 26Juni 2016 katika makaburi ya Kinondoni jijini Dar es
salaam.
0 maoni:
Chapisha Maoni