Mkurugenzi
Mkuu wa Shirikisho la Viwanda Duniani Mr. Li Yong, akimpa zawadi ya
picha Katibu Mkuu wa Wizara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji
anayeshughulikia Viwanda Dr. Adelhelm Meru, walipokutana kwa mazungumzo
mafupi wakati wa Mkutano wa “Viwanda na Mazingira” unaoendelea Mjini
Ulsan, Korea ya Kusini.
0 maoni:
Chapisha Maoni