Jumapili, 26 Juni 2016

ELIMISHA, WFP WAFANYA MDAHALO JIJINI MBEYA


Mjumbe wa chama cha Walemavu Mkoa wa Mbeya,Qeen Majembe akichangia hoja wakati wa Mdahalo uliokuwa na mada ya Ushiriki wa wanawake na wasichana katika nyanja za Kisiasa na Uongozi ulioandaliwa na Shirika lisilo la Kiserikali  la ELIMISHA kwa kushirkiana  Mfuko wa wanawake Tanzania (WFP) jana jijini Mbeya (Picha na Kenneth Ngelesi)

Mkokoza mada katika Mdahalo Rehema Msima akizungumza na washiriki wa mdahalo uliokuwa na mada ya Ushiriki wa wanawake na wasichana katika nyanja za Kisiasa na Uongozi ulioandaliwa na Shirika lisilo la Kiserikali  la ELIMISHA kwa kushirkiana  Mfuko wa wanawake Tanzania (WFP) jana jijini Mbeya (Picha na Kenneth Ngelesi)

Aliye kuwa Mwenyekiti wa Kijiji cha Azimio-Mswiswi,Mwajuma Mussa akichangia hoja katika mdahalo uliokuwa na mada ya Ushiriki wa wanawake na wasichana katika nyanja za Kisiasa na Uongozi ambao uliandaliwa na Shirika lisilo la Kiserikali  la ‘ELIMISHA’ kwa kushirkiana  Mfuko wa wanawake Tanzania (WFP) jana jijini Mbeya (Picha na Kenneth Ngelesi)
Mkurugenzi wa Shirika lisilo kuwa la Kireserikali la Elimisha, Festo Sikagonamo akiongoza mdahalo ulikuwa na mada uliokuwa na mada ya Ushiriki wa wanawake na wasichana katika nyanja za Kisiasa na Uongozi ambao uliandaliwa na Shirika lisilo la Kiserikali  la ‘ELIMISHA’ kwa kushirkiana  Mfuko wa wanawake Tanzania (WFP) jana jijini Mbeya (Picha na Kenneth Ngelesi)

0 maoni:

Chapisha Maoni