Alhamisi, 30 Juni 2016

BARAZA LA WAFANYAKAZI MUHIMBILI LAFANYA KIKAO CHAKE CHA 16, WAJUMBE WATAKIWA KUWA MFANO KWA WATUMISHI WENGINE.

M1Mwenyekiti wa Baraza la Wafanyakazi la Hospitali ya Taifa Muhimbili   Profesa Lawrence Museru  akifungua kikao cha 16 cha Baraza hilo kilichofanyika  leo Juni 30, 2016  katika ukumbi wa NACTE Mikocheni jijini Dar es salaam. Kulia ni Katibu wa Baraza hilo Dk. Kisah Mwambene na kushoto ni Katibu Msaidizi Enezer Msuya.
M2Katibu wa TUGHE mkoa Bwana.  Gaudence  Kadyango   akiwasilisha mada kuhusu umuhimu wa mikataba ya hali bora za kazi na faida zake.
M3Bwana.  Andrew Mwalwisi  kutoka Tume ya Usuluhishi  -CMA-   akiwasilisha mada  katika kikao cha Baraza la wafanyakazi  wa MNH .
M4Mwenyekiti wa TUGHE  Tawi la Muhimbili Mziwanda Salum Chimwege akiuza swali   kwa viongozi wa Baraza  la MNH  katika kikao hicho  .
M5Mjumbe wa Baraza la Wafanyakazi wa- MNH -Alex   Samweli  akitoa hoja katika kikao hicho  kilichofayika leo.

0 maoni:

Chapisha Maoni