Mkuu
wa wilaya ya Iringa Bw Richard Kasesela akiwa amejitwisha
kichawani box lenye dawa kwa ajili ya kwenda kusaidia majeruhi wa
ajali ya basi iliyotokea hivi karibuni katika Mlima wa Ipogolo mjini
Iringa dawa zilizotolewa msaada na mwenyekiti wa kamati ya usalama
barabarani mkoa wa Iringa Bw Salim Abri (picha na MatukiodaimaBlog)
Wakati Rais Dr John Magufuli ameteua wakuu wapya wa wilaya ,utendaji kazi wa mkuu wa wilaya ya Iringa Bw Richard Kasesela umembakiza katika wilaya hiyo ya Iringa huku wakuu wenzake wa wilaya ya Kilolo na Mufindi wakiondolewa
0 maoni:
Chapisha Maoni