Mkuu wa wilaya ya Iringa Bw Richard Kasesela kulia akiwa na waziri Balozi Dr Mahiga |
Balozi Dr Augustino Mahiga akiwa nje
ya jengo la jumba la makumbusho la mkoa wa Iringa huku akiwa
amevishwa mavazi ya chifu wa wahehe
WAZIRI wa mambo ya
nje na ushirikiano wa Afrika
Mashariki Balozi Augustino
Mahiga wa nne kushoto akiwa katika vazi la kichifu wa Kihehe na
viongozi mbali mbali baada ya kuzindua jumba la makumbusho la mkoa
wa Iringa ,wa kwanza kushoto ni mkuu wa wilaya ya Iringa Bw Richard
Kasesela na wa watano kutoka kushoto ni mwenyekiti wa wabunge wa mkoa
wa Iringa Bi Ritta Kabati akifuatiwa na mkuu wa mkoa wa MOrogoro Bw
Kebwe Steven KebweMratibu wa mradi wa Fahari Yetu Bw Jimso Sanga kulia akiagana na waziri balozi Dr Mahiga
0 maoni:
Chapisha Maoni