Eneo la ajali kona ya kisima cha bibi |
Damu zikiwa zimetapakaa eneo la tukio baada ya kumtoa majeruhi aliyekuwa hoi kwa kubanwa na gari |
Wananchi wakitazama ajali hiyo |
Baadhi ya majeruhi wa ajali hiyo wakiwa wanasubiri msaada |
Eneo ambalo ajali imetokea ni hapa katika foleni gari namba tatu toka kushoto ni la mwenyekiti wa kamati ya usalama barabarani mkoa wa Iringa Salim Asas likiwa eneo la tukio baada ya ajali kutokea |
0 maoni:
Chapisha Maoni