Jumatatu, 27 Juni 2016

MAJALIWA AHITIMISHA MASHINDANO YA KUHIFADHI QUR’AN TUKUFU YA KIMATAIFA

 

hs1Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa  akisalimiana na Rais Mstaafu wa Awamu ya Pili, Alhaj Ali Hassan Mwinyi baada ya kuwasili kwenye ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es salaam Juni 26, 2016 kuhitimisha Mashindano ya Kuhifadhi Qur’an Tukufu ya kimataifa kwenye ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es slaam . (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu.
hs2Baadhi ya Waislamu waliokudhuria katika hitimisho la Mashindano ya Kuhifadhi Qur’an Tukufu ya Kimataifa wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa wakati alipohitimisha mashindano hayo kwenye ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es salaam Juni 26, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
hs3Sheikh Mkuu wa mkoa wa Dare es salaam Sheikh  Alhadi Mussa Salim akiwa amekaa na Mkurugeni wa Tume ya Ucahguzi Bw. Ramadhan K.Kailima.
hs5
Katikati ni Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Mh. Ali Hapi akiwa amekaa na Kamanda wa kikosi cha usalama Barabarani nchini Kamanda Mohamed Mpinga na kulia kwake ni Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Dar es salaam Bw. Ramadhan Madabida.
hs6Baadhi ya Waislamu waliokudhuria katika hitimisho la Mashindano ya Kuhifadhi Qur’an Tukufu ya Kimataifa wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa wakati alipohitimisha mashindano hayo kwenye ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es salaam Juni 26, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
hs7Baadhi ya Waislamu waliokudhuria katika hitimisho la Mashindano ya Kuhifadhi Qur’an Tukufu ya Kimataifa wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa wakati alipohitimisha mashindano hayo kwenye ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es salaam Juni 26, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
hs8Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na  Mufti wa Tanzania, Sheikh Abubakary Zubery bin Ally baada ya kuwasili kwenye ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es salaam kuhitimisha Mashindano ya Kuhifadhi Qur’an Tukufu ya Kimataifa Juni 26, 2016. Katikati ni Sheikh wa Mkoa wa Dar es salaam, Alhadi Mussa Salum. (Picha na ofisi ya Waziri Mkuu)
hs9Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza wakati alipohitimisha Mashindano ya Kuhifadhi Qur’an Tukufu ya Kimataifa kwenye ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es salaam Juni 26, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
hs10 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwa na watoto wadogo kuliko wote walioshiriki katika Mashindano ya Kuhifadhi Qur’an Tukufu ya Kimataifa kwenye ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es salaam Juni 26, 2016.Watoto hao ni Abuzar Kholidi wa Tajikistan (Kulia) na Ahmad Abdullah Al-Azhar wa wa Bangladesh. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
hs11Waziri Mkuu, Kassim Maajliwa akiagana na baadhi ya waumini wa Kiislamu walioshiriki katika hitimisho la Mashindano ya Kuhufadhi Qur’an Tukufu ya Kimataifa kwenye ukumbi wa  wa Diamond Jubilee jijini Dar es salaam baada ya kuhitimisha mashindano hayo Juni 26, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

0 maoni:

Chapisha Maoni