Hadi
sasa uwanja wa Taifa hali ni tete ikiwemo ya kiusalama na kiafaya baada
ya umati mkubwa wa watu kufurika katika viunga vya uwanja huo kwa
lengo la kuingia licha ya maelfu ya mashabiki wa awali kuingia ndani ya
uwanja huo.
Maashabiki
hao wamefurika kushuhudia mpambano wa kombe la Shirikisho barani
Afrika kati ya Yanga ya Tanzania na Tp Mazembe ya Jamhuri ya
Kidemokrasia ya Congo ambapo hakua kiingilio.
Mashabiki
wanavyoonekana waliofurika mapema leo kushuhudia mpambano wa kombe la
Shirikisho barani Afrika kati ya Yanga ya Tanzania na Tp Mazembe ya
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo leo Juni 28,2016. Mashabiki
wanavyoonekana waliofurika mapema leo kushuhudia mpambano wa kombe la
Shirikisho barani Afrika kati ya Yanga ya Tanzania na Tp Mazembe ya
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo leo Juni 28,2016.
Picha zote na Raymond Mushumbusi WHUSM
0 maoni:
Chapisha Maoni