Jumatatu, 27 Juni 2016

Tazama hapa Video ya wimbo mpya ya Yamoto Band Feat Ruby Su


Baada ya kufanya vizuri na wimbo wa Mama Yamoto Band leo wameachia video yao nyingine mpya Su wakimshirikisha Ruby,Video imefanywa na Pablo na video nzima imeshootiwa Zanzibar…. Enjoy

0 maoni:

Chapisha Maoni