Jumatano, 29 Juni 2016

MKUU WA MKOA WA DSM POUL MAKONDA AKITETA NA WAKUU WA WILAYA KATIKA VIWANJA VYA IKULU

DC wa kinondoni Salum Happi, DC wa Iringa Richard Kasesela ,DC wa Longido Daniel Chongolo wakibadilishana  mawazo na mkuu wa mkoa wa DSM Poul Makonda Ikulu, DSM.

Mkuu wa wilaya ya Ikungi Miraji Mtaturu akiwa na mkuu wa wilaya ya Iringa Richard Kasesela  katika viwanja vya Ikulu


0 maoni:

Chapisha Maoni