HAYA NI MAMBO MATANO UNATAKIWA UYAJUE KUHUSIANA NA MNYAMA HUYU mkubwa duniani.
1:NYANGUMI WA blue alikuwa anapatikana karibu katika bahari zote duniani mpaka mwanzoni mwa karne ya 20,ambapo walianza kuwindwa na wawindaji haramu mpaka jumuia ya kimataifa ilipoamua kulinda WANYAMA HAO mwaka 1966.
2:NYANGUMI WA BLUE hula zaidi wanyama wadogo wa baharini wanaoitwa KRILL_na nyangumi mmoja hula zaidi ya Krill milioni 40 kwa siku_hivyo inabidi
waishi katika maendeo yenye msongamamo mkubwa wa wanyama hao
3:NYANGUMI JIKE HUZAA MTOTO MMOJA KILA BAADA YA miaka miwili
au Mitatu…na motto wa nyangumi akizaliwa huwa na uzito wa tani 3 na urefu wa
mita 7_na hunyonya maziwa ya mama yake lita 500 na zaidi au gallon 150 kwa siku
4:Wanasayansi wanakadiria kuwa NYANGUMI WA BLUE huishi hadi miaka miaka 80
5:UZITO WA ULIMI wa
nyangumi wa blue ni sawa na uzito wa tembo mmoja
0 maoni:
Chapisha Maoni