05:45
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt.Ali Mohamed
Sein,akisalimiana na Balozi Mdogo wa Jamhuri ya Watu wa China
anayefanyia kazi Zanzibar Mhe,Xie Yunliang alipofika Ikulu Mjni Zanzinar
leo kwa ajili ya kuaga,[Picha na Ikulu.] 14/06/2016.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt.Ali Mohamed
Sein,akizungumza na Balozi Mdogo wa Jamhuri ya Watu wa China anayefanyia
kazi Zanzibar
0 maoni:
Chapisha Maoni