Viongozi
wa Jumuiya ya Kuhifadhisha Qur-an Zanzibar wakifuatilia mashindano hayo
yanayofanyika katika Masjid Loota Kiembesamaki Zanzibar na
kuwashirikisha Vijana wa Umri mbali.
Viongozi
wa Kamati ya Kuhifadhi Qur-an wakiwa katikac Masjid Loota Kiembesamaki
wakifuatilia Wanafunzi wakisoma Qur-an wakati wa mashindano hayo
yalioandaliwa na Jumuiya ya Kuhifadhisha Qur-an Zanzibar.
Washiriki
wa Mashindano ya Kuhifadhi Qur-an Zanzibar wakiwa katika Masjid Loota
wakisubiri zamu zao kushiriki mashindano hayo. yanayoshindanisha
Wahifadhi Qur-an Juzuu 5.10,20 na 25.
Waumini
wa Dini ya Kiislam Zanzibar wakifuatilia mashindano ya kuhifadhi Qur-an
yanayofanyika katika Masjid Loota Kiembesamaki Unguja Wilaya ya
Magharibi B Unguja.
Majaji wa Mashindano ya Kuhifadhi Qur-an Zanzibar wakiwa makini kufuatilia usomani wa Wanafunzi hao katika mashindano hayo.
Watoa Aya za Qur-an kwa Washiriki wa Mashindano ya Kuhifadhi Qur-an Zanzibar wakitoa Aya kwa Washiriki hao.
Mshinriki
wa Mashindano ya Kuhifadhi Qur-an Juzuu 10 kutoka Zanzibar Mwanafunzi
Khayyam Mohammed mwenye umri wa miaka 13. akisoma Qur-an wakati wa
mashindano hayo yanayofanyika katika Masjid Loota Kiembesamaki leo
14/6/2016.
Mwanafunzi
kutoka Zanzibar Mussa Hamad mwenye umri wa miaka 9 akishiriki katika
mashindano hayo ya kuhifadhi Juzuu 10, yanayofanyika katika Masjid Loota
kiembesamaki Unguja
Mshiriki
wa Mashindano ya Kuhifadhi Qur-an kutoka Zanzibar Mwanafunzi Shakir
Hamad Juma. akisoma Qur-an katika mashindano hayo yalioandaliwa na
Jumuiya ya Kuhifadhi Qur-an Zanzibar. yaliowashirikisha Wanafunzi 27
Kutoka Zanzibar, Tanga, Pwani na Morogoro.
Imetayarishwa na Mtandao wa Zanzinews.com.
Email othmanmaulid@gmail.com – Zanzibar.






0 maoni:
Chapisha Maoni