Alhamisi, 2 Juni 2016

NAIBU WAZIRI JAFO AZINDUA MADARASA SHULE YA MSINGI NZUGUNI B. DODOMA

jaf1Mheshimiwa Naibu Waziri TAMISEMI Seleman Jafo akizungumza na wananchi wakati alipozindua na kukagua madarasa katika shule hiyo iliyopo Manispaa ya Dodomah.
jaf2Mbunge wa Dodoma Mjini ambaye pia ni Naibu wa Waziri Vijana na AJIRA Anthony Mavunde akitoa neno la shukrani wakati wa uzinduzi huo
jaf3Mkuu wa wilaya ya Dodoma Jasmine Tiisekwa akitoa taarifa ya mradi huo wakati wa uzinduzi wa madarasa.
jaf4Picha ya Pamoja na walimu wa shule ya msingi Nzuguni B pamoja watendaji wengine
jaf5Jengo la madarasa yaliyozinduliwa linavyoonekamana mara baada ya uzinduzi huo.
PICHA ZOTE NA RAMADHANI JUMA
 
 
 
 
 

0 maoni:

Chapisha Maoni