Ijumaa, 10 Juni 2016

MWIMBAJI WA MUZIKI WA INJILI NCHINI VANESSA LABAN KUACHIA ALBAMU YAKE MPYA.

Mwimbaji wa nyimbo za Injili nchini,Vanessa Laban, kutoka Jijini Mwanza, anatarajia kuachia Album yake mpya iitwayo “Sifa Zivume” iliyo katika mfumo wa Sauti/ Audio na Picha Nyongevu/ Video.

0 maoni:

Chapisha Maoni