Mkurugenzi mtendaji wa kiwanda cha maziwa cha Asas Dairies Ltd Bw Fuad Asas Abri akitoa taarifa ya maadhimisho hayo leo uwanja wa samora
| Dr Kikwete akipata maelezo ya bidhaa za Asas Daireis Ltd kampuni hii ni ndio kampuni bora ya usindikaji maziwa nchini Tanzania kwa miaka mitatu mfululizo sasa |
| Rais Dr Kikwete akitazama baadhi ya bidhaa zenye ubora za kampuni ya Asas Daireis Ltd |
| Dr Kikwete akifurahia baada ya kutembelea banda ya Asas DaireisLtd jijini Dar es Salaam |
| Wananchi mbali mbali wakitembelea banda ya Maziwa ya Asas katika viwanja wa Sabasaba jijini Dar es Salaam |







0 maoni:
Chapisha Maoni