Alhamisi, 9 Juni 2016

Aliyemtukana Rais Magufuli , Isaac Emily Ahukumiwa Kifungo cha Miaka 3 Jela au Kulipa Faini Ya Sh. Milioni 7


Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoa Wa Arusha,imemhukumu  Isack Habakuki(40) mkazi Wa Olasiti, kifungo cha miaka mitatu jela au kulipa faini ya shilingi milioni 7 kwa kosa la kumtukana Rais Magufuli kupitia mtandao wa facebook. Mshtakiwa amekiri kutenda kosa hilo na amekubali kulipa faini ambapo mahakama imeamuru alipe fedha hizo kwa awamu mbili. Katika awamu ya kwanza atalipa July 8 2016 sh mil...

0 maoni:

Chapisha Maoni