KUANZIA Julai mosi mwaka huu, serikali imepiga marufuku kwa Wizara,
Taasisi, Wakala za Serikali, Mikoa na Mamlaka za Serikali za Mitaa
kufanya biashara na wazabuni na wafanyabiashara wengine ambao hawatumii
mashine za kielektroniki - EFDs.
Waziri wa Fedha na Mipango, Dk Philip Mpango alisema hayo jana bungeni
wakati akiwasilisha Bajeti ya Serikali kwa mwaka wa fedha 2016/2017
bungeni mjini...
Kodi ya Kusajili Gari Kwa Kuandika Jina Lako Yaongezeka Kutoka Milioni 5 Hadi 10
Serikali imebainisha kuwa kodi ya usajili wa namba binafsi kwenye magari
unategemea kupanda kutoka shilingi 5,000,000 mpaka shilingi 10,000,000
kila baada ya miaka mitatu.Hayo yamesemwa jana Bungeni na Waziri wa
Fedha na Mipango Mhe. Dkt. Philip Mpango alipokuwa akiwasilisha Bajeti
Kuu ya Serikali kwa mwaka wa Fedha 2016/17.“Napendekeza kufanya
marekebisho kwenye Sheria ya Magari inayohusu...
0 maoni:
Chapisha Maoni