Jumatatu, 13 Juni 2016

WCF YAWAFIKIA MADAKTARI 380 IKIJIANDAA KUANZA KUTOA FIDIA JULAI MOSI 2016

 Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Fidia Kwa Wafanyakazi, Masha Mshomba, akitoa hotuba kwenye
ufunguzi wa mafunzo ya siku tano kwa madaktari kutoka mikoa ya Nyanda za Juu
Kusini, yanayofanyika mjini Mbeya Juni 13, 2016.Mafunzo hayo ni muendelezo wa
kampeni ya WCF kwa kushirikiana na Shirika la Kazi Duniani, ILO, kuwapatia
mafunzo Madaktari kote nchini, ili kujenga uwezowa kufanya tathmini ya madhara
aliyoyapata mfanyakazimahala pa kazi kabla ya kupatiwa fidia. WCF itaanza kutoa
Fidia kwa Wafanyakazi Kuanzia Julai 1, 2016. (PICHA ZOTE NA EMMANULE MADAFA)
 Baadhi ya madaktari waliohudhuria mafunzo hayo

0 maoni:

Chapisha Maoni