Alhamisi, 2 Juni 2016

Wajumbe wapya wa bodi ya NHIF wateuliwa

indexKufuatiakuteuliwakwaBi. Anne S. MakindakuwaMwenyekitiwaBodiyaMfukowaTaifawaBimayaAfya (NHIF),Waziri waAfya, MaendeleoyaJamii, Jinsia, WazeenaWatotoMhe. Ummy A. Mwalimu (Mb), pia ameteuawafuataokuwaWajumbewaBodiyaMfukowaTaifawaBimayaAfya (NHIF).
1. 2.
3.
4.
5.
6.
7.
Dkt. DorothGwajima Ndugu Lydia Choma
NduguYahayaMsulwa
Dkt. Kaushik Ramaiya
NduguJaffer Machano
NduguTryphon D. Rutazamba
Dkt. Bughayo Abdallah Saqware
Uteuzihuunikuanziatarehe 01/6/2016 haditarehe 31/5/2019.
Imetolewana:
Dkt. UlisubisyaMpoki
KATIBU MKUU
01 Juni, 2016

0 maoni:

Chapisha Maoni