Bi.
Rose Lutu Lawa Kaimu Mkurugenzi wa Shirika la Bima la Taifa NIC
akizungumza na Mawakala wa bima ya Ajali na Mali wakati wa mafunzo ya
mawakala hao katika kutoa huduma bora kwa wateja na mikakati ya kuuza
bidhaa za shirika hilo kwa ufanisi mafunzo hao yalifanyika mwishoni mwa
wiki kwenye makao makuu ya shirika hilo jijini Dar es salaam na
kuhudhuriwa na baadhi ya watendaji kutoka vitengo kadhaa ambao pia
walitoa mada kadhaa katika kuboresha huduma za shirika la Bima.
Bi.
Rose Lutu Lawa Kaimu Mkurugenzi wa Shirika la Bima la Taifa NIC
akifafanua jambo kwa Mawakala wa bima ya Ajali na Mali wakati wa
mafunzohayo yaliyofanyika kwenye makao makuu ya shirika la Bima la Taifa
NIC jijini Dar es salaam.
Baadhi ya washiriki wakiwa katika mafunzo hayo wakifuatilia kwa makini maelezo ya Bi Rose Lutu Kaimu Mkurugenzi wa NIC.
Mafunzo yakiendelea.
Kaimu
Mkurugenzi wa MasokoElisante Maleko akimuelekeza jambo kwenye ratiba
Bi. Tabu Kingu Kaimu Mhasibu Mkuu wa shirika la Bima la Taifa NIC
ambaye pia alikuwa mtoa mada katika mafunzo hayo.
0 maoni:
Chapisha Maoni