Mwanariadha
mlemavu wa Afrika Kusini Oscar Pistorius, amefikishwa mahakamani bila
ya miguu yake ya bandia, wakati wa kusikizwa na kuamuliwa kwa kesi ya
mauwaji yanayomkabili.
Mwanariadha
huyo alisimama kizimbani kwa mikongojo, akiinamisha kichwa chake, huku
wakili wake Barry Roux, akirejelea kilichotukia usiku wa mauwaji ya
mpenziwe Reeva Steenkamp, miaka mitatu iliyopita.
Alisema kuwa Bwana Pistorius, alipoteza kila kitu na hatoweza kurejea taaluma yake tena ya kukimbia.
Binamu wa
Bi Steenkamp, Kim Martin, aliiambia mahakama hiyo kuwa mwanariadha huyo
amekataa kuelezea namna mauwaji hayo yalivyotek
|
0 maoni:
Chapisha Maoni