Alhamisi, 2 Juni 2016

MUHIMBILI YAPOKEA VIFAA VYA KUTOA HUDUMA KWA WATOTO WADOGO

zaw1Kushoto ni Mkuu wa Uuguzi na Mazingira ya Ndani, Zuhura Mawona wa Hospitali ya Taifa ya Muhimbili (MNH) akipokea LEO vifaa vya kutoa huduma kwa watoto wadogo kutoka  kwa Mratibu wa Global Health Alliance, Sally Dawit.
zaw2Vifaa vya kutoa huduma kwa watoto wadogo vikiwa kwenye toroli maalumu la kuhifadhia katika hospitali hiyo.
zaw3Kushoto ni Mkuu wa Uuguzi na Mazingira ya Ndani, Zuhura Mawona wa Hospitali ya Taifa ya Muhimbili (MNH) akipokea LEO vifaa vya kutoa huduma kwa watoto wadogo kutoka  kwa Mratibu wa Global Health Alliance, Sally Dawit.
Picha na John Stephen, Hospitali ya Taifa Muhimbili.

0 maoni:

Chapisha Maoni