Jumanne, 14 Juni 2016

MKUU WA MKOA WA IRINGA AMINA MASENZA ATEMBELEA CHUO CHA UFUNDI VETA KUKAGUZI HALI YA UTENGENTEZAJI WA MADAWATI



Mkuu wa mkoa Iringa Amina Masenza akisaini kitabu cha wageni mara baada ya kuwasili katika chuo cha veta kilichopewa tenda ya kutengeneza madawati kutokana na agizo la mh.Rais

Mkuu wa wilaya ya Iringa Ricahard Kasesela akisaini kitabu cha wagaeni







Mkuu   wa mkoa Iringa Amina Masenza akizungumza baada ya kukagua utengenezaji wa madawati  katika ziara aliyoifanya katika chuo cha veta





Mkuu wa chuo cha ufundi veta Ng'wandu Raphael akisoma taarifa  ya utekelezaji wa utengenezajki wa madawati ya shule za msingi na sekondari .












Kutokana na agizo la Mh. Rais DR.John magufuli kuagiza wakuu wa mikoa kukamilishai madawati katika shule za msingi na sekondari zenye uhaba, mkuu wa mkoa amewaagiza wakurugenzi wa Halmashauri zilizopo mkoani hapa kuhakikisha zoezi hilo linakamika hadi ifikapo june 30\2016

0 maoni:

Chapisha Maoni